Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira akielezea jinsi alivyokerwa na kitendo cha kikatili cha kubakwa mtoto wa miaka 9 Bukoba, mkoani Kagera.
Lugangira akimfariji mama mzazi wa mtoto aliyebakwa.
Lugangira akiwa na Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Kagera katika harakakati za kumuokoa mtoto huyo asitoroshwe.
Comments