WAZIRI WA HABARI. UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO, MHE. PROF. PALAMAGAMBA KABUDI LEO AJITAMBULISHA KWA WADAU WA SEKTA YA HABARI NA UTANGAZAJI

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi .akizungumza wakati alipokuwa akijitambulisha kwa Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji leo  Desemba 18, 2024 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

  wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (pichani hayupo) wakati alipokuwa akijitambulisha kwao leo  Desemba 18, 2024 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji (pichani hawapo) leo Desemba 18, 2024 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

  wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji wakiwa katika picha ya pamoja  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi  leo 18, Desemba 2024 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA