CCTV CAMERA ZAFUNGWA KWENYE MALANGO YA KUINGILIA WATALII


KWA lengo la kuhakikisha usalama wa watalii na kurahisisha huduma, Serikali imewekeza kwenye teknolojia ya kisasa ya matumizi ya‘smart gates’ na ufungaji wa ‘CCTV cameras’ kwenye baadhi ya malango ya kuingilia, kutokea wageni na maeneo mengine muhimu ili kuboresha ukusanyaji wa mapato.


Aidha, Serikali ya Awmu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeanza mchakato wa kujenga barabara kuu zinazotumika zaidi katika Hifadhi ya Taifa Serengeti kwa kiwango cha tabaka gumu ili kupunguza athari za mazingira,kuboresha huduma kwa watalii na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara.


Hayo yamesemwa hivi karibuni  na Msemaji Mkuu wa Srikali, Gerson Msigwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumu, Morogoro, kuhusu masuala mbalimbali yaliyotekelezwa na Serikali.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--