BADO MMOJA ,KAZI IENDELEE
BODI YA LIGI KUU YAITAKA JKT KUMUONDOA JEMEDARI SAID KWENYE UONGOZI WA KLAB YAO.
Tetesi za ndani zilizotufikia hivi punde zinatuarifu kuwa bodi inayosimamia na kuendesha soka nchini 'TPLB' kuipa siku 21(wiki tatu) klabu ya JKT Tanzania iwe imebadili Mkurugenzi mtendaji wake aliyeko hivi sasa Bwana Jemedari Said kutokana na kukosa sifa stahiki za kuendelea na wadhifa huo kwa sasa,
Tetesi zinaeleza kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea Mkurugenzi mtendaji huyo wa sasa kukosa sifa ni kutokana na kauli/chapisho lake alilowahi kulitoa kuwa
.... 'Ni rahisi kupata uraia kuliko kupata kitambulisho cha NIDA'......
Kauli ambayo imeonekana kunajisi/kukebehi mamlaka za kiserikali,
Hivyo JKT wametakiwa kumtengua Mkurugenzi mtendaji wake huyo wa sasa na kumteua mwingine ndani ya muda walioelekezwa na TPLB
NB wananchi msichoke kuipigania Timu yetu na ni hatua muhimu sana katika soka, pale unapomaliza kazi zako peruzi mitandaoni Acha maoni yako kisha achia wafanyie kazi,
Maana tumemtoa nyoka tu duni alikuwa hatari sana,
Hivi nyoka alisha wahi kupotelea chumba na ukalala usingozi😜
Ila bado uko maredioni napo tutalitoa tu, hii ni timu ya Taifa hata dunduka ni lazima u ipiganie kisha ndio ukumbuke litimu lako😀😀jokes bana wana msimbazi, ila msiache hata kama ni utani
Comments