.jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa ufunguo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye ni Meya wa Jiji la Mwanza Mhe. Sima Constantine Sima kama ishara ya ukaribisho kwa wajumbe wa ALAT Jijini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akikagua mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali kabla ya kufungua Mkutano
Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika
ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
Viongozi pamoja na
wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za
Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
tarehe 11 Machi, 2025.
Comments