Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
Dkt. Samia akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Stephen Wasira.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza wakati wa kikao hicho.Dkt. Samia akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Wajumbe wa Halamashauri Kuu wakiwa katika kikao hicho.
Comments