Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars 🇹🇿 imepanda katika viwango vya ubora wa dunia kwa timu za wanawake kutoka nafasi ya 145 ya mwaka jana 2024 hadi nafasi ya 138 ikipanda kwa nafasi 7.
Katika nafasi hizo hizo kwa upande wa Afrika mwaka jana 2024, Twiga Stars ilikuwa nafasi ya 27 na mwaka huu 2025 imepanda hadi nafasi ya 23.
✍️🏾 Timu ya taifa ya Kenya 🇰🇪 imekuwa miungoni mwa timu mbili duniani ambazo zimepanda viwango vya ubora kwa kasi sana ikifuatiwa na Djibouti 🇩🇯.
Mwaka jana 2024 Kenya walikuwa nafasi ya 149 na mwaka huu imekuwa nafasi ya 142.
Huku Djibouti wao mwaka jana 2024 hawakuwa na alama hata moja ila mwaka huu 2025 pekee wamekusanya alama 3.35 na kushika nafasi ya 195.
✍️🏾 Tunisia 🇹🇳 ndio timu pekee ambayo imeporoka zaidi kuliko timu yoyote ile ikiporoka kwa nafasi 11.
Kumi bora ya timu bora duniani.
1. USA 🇺🇸
2. Spain 🇪🇸
3. Germany 🇩🇪
4. England 🏴
5. Japan 🇯🇵
6. Sweden 🇸🇪
7. Canada 🇨🇦
8. Brazil 🇧🇷
9. Korea DPR 🇰🇵
10. Netherlands 🇳🇱
Kumi bora ya timu bora Afrika
1. Nigeria 🇳🇬
2. South Africa 🇿🇦
3. Morocco 🇲🇦
4. Zambia 🇿🇲
5. Ghana 🇬🇭
6. Cameroon 🇨🇲
7. Cõte d'Ivoire 🇨🇮
8. Mali 🇲🇱
9. Senegal 🇸🇳
10. Algeria 🇩🇿
Timu bora Afrika Mashariki
1. Ethiopia 🇪🇹
2. Tanzania 🇹🇿
3. Kenya 🇰🇪
4. Uganda 🇺🇬
5. Rwanda 🇷🇼
6. Burundi 🇧🇮
7. Sudani kusini 🇸🇸
8. Djibouti 🇩🇯
Powered by @matukiomuhimu_sportswear
Comments