Waziri wa Afya, Jenista Mhagama akishuhudia Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe na Makamu wa Rais wa Kanda wa Kampuni ya Abbott, Steve Henn wakitiliana saini makubaliano ya mkataba na Kampuni hiyo ya Marekani, wa kujenga kiwanda kikubwa nchini cha uzalishaji wa vifaa tiba vya kupima magonjwa ya Kaswende, Ini na Ukimwi.
Wakibadilishana hati wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dodoma Julai 12, 2025.
Waziri Mhagama akizungumza wakati wa hafla hiyo.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE
TV
0754264203
Comments