Na Diana Byera
Missenyi
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule za Green Acres Tanzania zilizoko Missenyi na Dar es salaam, Bi Jacklyne Siima Rushaigo mwenye elimu ya Shahada ya Uzamili ya Benki na Fedha (MSc) amechukua nakurejesha fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Missenyi Mkoani Kagera
Akiongea na waandishi wa habari baada ya kurejesha fomu katika ofisi ya Wilaya Missenyi ya Chama Cha Mapinduzi iliyoko Nyabihanga Kyaka Missenyi Bi Jacklyne ameomba chama chake kumteua KWAKUWA anao uwezo wa kutumikia wananchi na kuwaletea maendeleo
Comments