RAIS SAMIA KUJENGEWA MNARA SINGIDA, CHIFU LITI ALIYEWAPIGA WAZUNGU KWA NYUKI KUHESHIMIWA


 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amesema wana mpango wa kumjengea Mnara mkubwa wa heshima Rais Samia Suluhu Hassan kuwa kwa mafanikio makubwa alioufanyia Mkoa wa Singida.


Pamoja na mambo mengine, RC Dendego ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 4, 2025, kuhusu mafanikio lukuki yaliyopatikana mkoani humo katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia. 


Wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

 ;IMEANDALIWA NA 
RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI