Mama Anna Mkapa - Mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, na Mama Janeth Magufuli - Mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wametembelea Banda la Bunge katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo Julai 9, 2025.
Anayetoa maelezo ni Afisa Habari wa Bunge, Patson Sobha.
Comments