Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa wa CCM Tanzania (UWT), akimfariji Dkt. Fatma Mganga mjane wa aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge marehemu Job Ndugai wakati wa kuuaga mwili wa kiongozi huyo.
Rais Samia amfariji Dkt. Fatma Mjane wa marehemu Ndugai. Rais aliongoza tukio hilo la kuaga lililofanyika kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Agosti 10, 2025.
Chatanda akitoa heshima za mwisho.
Comments