Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko (wa pili kushoto) akizindua programu ya utowaji majiko 11,000 ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme (TANESCO) katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti 14, 2025.Kushoto
Katika hafla hiyo, pia alimpatia jiko la aina hiyo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule.
Dkt. Biteko akizungumza baada ya kugawa majiko hayo.

MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments