Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM, CPA. Amos Makalla akizungumza na vyombo vya habari katika Makao Makuu ya chama hicho Jijini Dodoma leo Agosti 2025, kwamba kesho Agosti 9 2025 Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza, Dkt. John Nchimbi wanakwenda Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama hicho.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments