JAJI MWAMBEGELE AKAGUA MAFUNZO SONGWE NA MBEYA

 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele (mwenye kofia) akiangalia mafunzo kwa vitendo kwa wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata kutoka Halmashauri ya mji wa Tunduma Mkoani Songwe leo Agosti 5,2025. Jaji  Mwambegele alitembelea vituo vya mafunzo ya Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi  ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 katika Wilaya ya Mbozi na Tunduma Mji mkoani Songwe na Halmashauri ya mji wa Mbeya na Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya. (Picha na INEC).



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....