KABLA YA UMAUTI KUMFIKA NDUGAI ALIFANYA IBADA KATIKA KABURI LA MAMAKE

Mdogo wake Job Ndugai amesema siku ya Jumanne Ndugai aliamka akiwa anasikiliza nyimbo za Dini kwake Kongwa. baadaye akasema anataka kwenda kufanya Ibada kwenye kaburi la mama yake na akaenda na wachungaji. Baada ya hapo akaenda Dodoma akiwa mzima kabisa, ila Jumatano akafariki.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....