MIAKA 5 YA UONGOZI MADHUBUTI, UADILIFU, UNYENYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA




KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV, Leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.

Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI

RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA