Mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Rayol Sports 🇷🇼 na Young Africans 🇹🇿 utakaopigwa Agosti 15 mwaka huu umepangwa kucheza majira ya SAA 1:00 kwa SAA za Tanzania 🙌✅
Pia Klabu mwenyeji Rayol sports wametaja viingilio vya mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki 👇
Hizi ni makadirio ya bei hizo kwa Tanzania Shillings (TSh) kwa kutumia kiwango cha wastani wa ubadilishaji:
1 RWF ≈ 2.3 TSh (kulingana na viwango vya hivi karibuni)
Makadirio ya Bei kwa TSh:
-Upper Bowl: 3,000 RWF ≈ TSh 6,900
-Lower Bowl: 5,000 RWF ≈ TSh 11,500
-Classic Seats: 15,000 RWF ≈ TSh 34,500
-VIP: 30,000 RWF ≈ TSh 69,000
-VVIP: 100,000 RWF ≈ TSh 230,000
-Executive Seat: 150,000 RWF ≈ TSh 345,000
-SkyBox: 2,000,000 RWF ≈ TSh 4,600,000 Chrisa San
Comments