Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Cosato Chumi, akizungumza na wanahabari baada ya kutembelea banda la kiwanda cha Kimataifa cha kutengeneza mafuta ya kula nchini cha Mainland Group Process Tanzania Co Ltd. Chumi ameusifu uongozi wa kiwanda hicho ambacho kinatalajiwa kufunguliwa hivi karibu kwa kuweza kuajiri wafanyakazi wengi na kitatumia malighafi nyingi za hapa nchini.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wa Kiwanda hicho Betty Mkwasa, akifafanua jambo kwa wanahabari kuhusu ujio wa kiwanda hicho nchini, ambacho anadai kitakuwa kikubwa cha pili kwa nchi za Kusini mwa Afrika. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments