Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Prof. Sifuni Mchome akitembelea mabanda ya wabunifu ya VETA katika maonesho ya Kimataifa ya Nanenane katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma lAgosti 7, 2025. Aliweza kujionea ubunifu mbalimbali wa washiriki hao ambao waliupata baada ya kupata mafunzo kutoka VETA katika vyuo vilivyoenea nchini.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Profesa Mchome amewataka washiriki kuzalisha kwa wingi bidhaa zao ili zienee katika masoko, nchi ijiepushe na kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Bidhaa hizo zikidhi viwango vya kimataifa ili kupanua soko hadi nje ya nchi.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments