SHANGWE , SHAMRASHAMRA ZAUPAMBA MKUTANO WA KAMPENI ZA DKT. SAMIA DODOMA

Shangwe, shamrashamra zikiwa zimeupamba mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye viwanja vya Tambukaleli jijini Dodoma Agosti 31, 2025.



Baadhi ya ahadi alizozitoa mgombea huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Dkt Samia ambazo ziliwafurahisha wananchi wa Dodoma ni kulimaliza tatizo sugu la maji kwa kutoa maji kutoka ziwa Victoria na kukamilisha ujenzi wa bwawa kubwa la maji la Farkwa.

Mambo mengine ni kukamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato na kuanza ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira utakaotumika wakati wa michuano ya AFCON Mwaka 2027.

















IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MSIMAMIZI MKUU

KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV

0754264203

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

NDEJEMBI KUTOKA MFANYAKAZI WA GSM HADI KUWA MAKAMU WA RAIS