TAIFA STARS WAVUNA MILIONI 55 ZA USHINDI WA MECHI YA PILI


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameikabidhi Taifa Stars kiasi cha Shilingi milioni 10 za goli la mama na kuungwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ambaye ametoa kiasi cha shilingi Milioni 20 pamoja na mdau wa michezo, Ndg. Azzim Dewji, ambaye ameahidi kiasi cha shilingi Milioni 25 kwa timu hiyo.

Stars imejinyakulia fedha hizo baada ya ushindi wa goli 1 - 0, dhidi ya Mauritania, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, Agosti 06, 2025.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....