Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Dkt.Stephen Nindi akielezea jinsi wakulima watakavyonufaika kupata mbolea kirahisi kupitia uratibu wa Taasisi ya AFFM kwa udhamini wa fedha kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) watakazokopeshwa wauzaji wa pembejeo kurahisisha usambazaji wa mbolea kwa wingi vijijini.
Nindi amezindua rasmi mpango huo leo Agosti 7, 2025, kwenye Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nane Nane katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki wa AFFM, James Mutonyi.
Mnufaika wa mpango huo, Sady Mwang'onda.
Baadhi ya waliohudhuria uzinduzi huo.
Mgeni rasmi, Dkt. Nindi akiwa katika picha ya pamoja
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments