UWT WAMSAFISHIA BARABARA ATAKAYOPITA DKT. MWINYI KWENDA KUCHUKUA FOMU ZA URAIS

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) pamoja na Katibu Mkuu wa (UWT) Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC) wakiwaongoza wanachama wa UWT/CCM na wananchi kusafisha  barabara atakayopita Mgombea Kiti cha Rais Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenda Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo Agosti 30, 2025 kuchukua fomu za kuomba kugombea nafasi hiyo.









 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI