UWT 'YAWASHA MOTO' ZANZIBAR USIKU WA DKT. HUSSEIN MWINYI.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) pamoja na Katibu Mkuu wa (UWT) Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC) waongoza wanachama wa UWT/CCM na Wananchi kwenye Usiku wa Dkt. Mwinyi kwa kucheza na kuburudika kwa nyimbo mbalimbali katika Viwanja vya Kisonge, yote hiyo ni hamasa na shamrashamra za kumsindikiza Dkt. Hussein Ali Mwinyi Kwenda kuchukua fomu Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar, kuwania nafasi ya Urais katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025.













 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI