NI ZAMU YA SONGWE
Hii ni baada ya mikoa ya Dar es salaa pale Kawe kutikisa kwenye mikutano ya kampeni kisha, Morogoro viwanja Kawawa pamoja na Kondoa na Dodoma Mjini wananchi wenye mapenzi mema na Chama Cha Mapinduzi kufurika kwa wingi kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, huku wakiahidi kutiki Oktoba 29 mwaka huu.
#TUKUTANESONGWE#
Comments