Wagombea 6 majina yao yamewasilishwa na vyama vya siasa kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika NOVEMBA 11, 2025 bungeni Dodoma.
Majina ya wagombea hao ni;
Mhe. Mussa Azzan Zungu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM);
Ndg . Veronica Charles Tyeah kutoka Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA);
Ndg. Anitha Alfan Mgaya kutoka Chama cha National League for Democracy (NLD):
Ndg Chrisant Nyakitita kutoka Chama cha Democratic Party (DP)
Ndg. Ndonge Said Ndonge kutoka Chama cha Alliance for Africa Farms Party (AAFP): na
Ndg. Amin Alfred Yango kutoka Chama cha Aliance for Democratic Change (ADC).

Comments