Mbunge Mteule wa Moshi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Moris Makoi akielezea furaha aliyonayo baada ya kujisajili kuingia kwa mara ya kwanza katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 10, 2025.
Ameahidi kuanza mara moja utekelezaji wa ilani na ahadi alizozitoa wakati wa kampeni kwa kushirikiana na wananchi na serikali kwa ujumla.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments