Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, amewateua wafuatao kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
(i) Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima;
(ii) Balozi Mahmoud Thabit Kombo;
(iii) Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa;
(iv)Bw. Abdullah Ali Mwinyi;
(v)Balozi Khamis Mussa Omar; na
(vi) Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho.

Comments