Baadhi ya wabunge wateule wapya na zamani wakijisajili kwenye viwanja vya Bunge tayari kuhudhuria Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Novemba 10, 2025. Vikao vya Bunge vinaanza kesho ambapo kutakuwa na uapisho wa wabunge na kumchagua Spika na Naibu Spika wa Bunge.
Mbunge Mteule wa Jimbo la Bukoba Mjini Dkt. Jasson Rweikiza (kushoto)
Mbunge Mteule wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete (kushoto).
Mbunge Mteule wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi (kushoto).
Mbunge Mteule wa Viti Maalumu, Suma Fyandomo.
Mbunge Mteule wa Urambo, Magreth Sitta (kulia






Comments