1.Umasikini unadhalilisha sana.
2.Tengeneza connection zenye kukupa michongo ya pesa.
3.Usikae kijiweni asubuhi bali tafuta kazi ya kufanya.
4.Ukizidiwa omba msaada usaidiwe.
5.Tafuta ujuzi wowote ambao utakuingizia kipato.
6.Ukikuta mwanaume mwenzako analia jaribu hata kumuuliza nini kinamsibu. Mwanaume kulia sio kawaida๐ง
7.Hudhuria semina, mikutano mbalimbali ili uongeze maarifa
8.Usitegemee ajira.. ukisubri ajira utakufa ajira bado hujaipata. Fanya kazi usichague sana kazi
9.Ukimaliza kupanga malengo yako mshirikishe mungu ๐

Comments