๐ก๐จ๐๐จ๐จ ๐ญ๐๐ก๐๐ญ๐ข๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐๐ญ๐ข๐ง๐จ๐๐๐๐๐ ๐ช๐๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ ๐ญ๐๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ฃ๐๐ฆ๐ข ๐๐๐ฌ๐๐ง๐ ๐๐๐ก๐๐๐ ๐๐ก ๐ ๐๐๐ฃ๐.
1. "Rushwa ni adui wa haki, maendeleo na ustawi wa wananchi.”
2. “Uongozi ni dhamana; si fursa ya kujinufaisha.”
3. “Hakuna maendeleo ya kweli bila uwajibikaji na nidhamu ya matumizi ya rasilimali za umma.”
4. “Demokrasia si kelele, bali ni kuheshimiana na kufuata sheria.”
5. “Umaskini hauondoki kwa maneno, unaondoka kwa kazi, nidhamu na mipango thabiti.”
6. “Taifa haliwezi kusonga mbele kama viongozi wake hawako tayari kujitoa muhanga.”
7. “Serikali ina wajibu wa kusimamia haki, lakini wananchi nao wana wajibu wa kulinda maadili.”
8. “Mageuzi ya kiuchumi hayana maana kama hayagusi maisha ya wananchi wa kawaida.”

Comments