Timu ya Taifa ya Tanzania imeweka historia kwa kufuzu kwenda hatua ya 16 ya michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON kama ‘best loser’ ikiwa miongoni mwa timu bora zilizomaliza nafasi ya tatu kwenye makundi yao.
Stars imeungana na Nigeria na Tunisia kwenye hatua ya 16 kutoka Kundi C la AFCON 2025.
FT: Tanzania ๐น๐ฟ 1-1 ๐น๐ณ Tunisia
⚽ 48’ Feitoto
⚽ 43’ Gharbi
FT: Uganda ๐บ๐ฌ 1-3 ๐ณ๐ฌ Nigeria
๐ฅ 56’ Magoola
⚽ 75’ Mato
⚽ 28’ Onuachu
⚽ 62’ Onyedika
⚽ 67’ Onyedika

Comments