Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Bw. Khalid Al Barwani, lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal Tour,” Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 22 Januari, 2026.
___
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#KaziIendelee
#TabasamuLaUtu
</

Comments