π¨π¨Mechi kati ya Algeria π©πΏ na DR Congo π¨π© kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika juzi usiku ilikuwa chini ya uangalizi wa maagent wa FBI.
Timu rasmi ya FBI imekuwa Morocco kutoka Januari 4–6, 2026, kuchunguza mfumo wa usalama wa nchi hii wakati wa AFCON 2025.
Maagent wa FBI wataangalia usimamizi wa umati, uchunguzi wa viingilio vya viwanja, ushirikiano na polisi wa kimataifa, matumizi ya drones, na mifumo ya juu ya uangalizi wa video (CCTV) kama sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia la 2026 nchini Marekani. (RMCsport)

Comments