๐ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ 10 ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ผ ๐๐ธ๐ถ๐ธ๐ฎ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐ป๐ฎ๐ผ, ๐ธ๐๐๐ผ๐ฏ๐ผ๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ฟ๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ⚠️ Kumbuka: Haya ni maoni na mitazamo ya kijamii tu, si kwamba kabila fulani lina mafanikio kuliko lingine. Mafanikio yanategemea juhudi, elimu, nidhamu na fursa. 1. Wasukuma Wana sifa ya kufanya kazi kwa bidii, hasa kwenye kilimo, ufugaji na biashara. Wengi huaminika kuwa wavumilivu katika kutafuta maendeleo. 2. Wachagga Hujulikana kwa moyo wa biashara, uwekezaji na kusaidiana kifamilia katika shughuli za maendeleo. 3. Wahaya Wana historia ndefu ya biashara, elimu na shughuli za uzalishaji zinazochochea maendeleo. 4. Wanyakyusa Wengi wanasifiwa kwa bidii katika biashara, kilimo na uwekezaji wa muda mrefu. 5. Wakinga Hujulikana kwa uchapakazi, nidhamu na uthubutu wa kutafuta fursa sehemu mbalimbali za nchi. 6. Waha Wana sifa ya kujituma katika biashara na shughuli mbalimbali za kiuchumi. 7. Wapare Mara nyingi husifiwa kwa kuthamini elimu, kazi na mipango y...
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MBUNGE DEO MWANYIKA AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATA YA MJI MWEMA, AKAGUA MIRADI NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Njombe, Mhe. Deo Mwanyika, jana tarehe 3 Agosti 2026, alifanya ziara ya kikazi katika Kata ya Mji Mwema kwa lengo la kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, kuzungumza na wananchi pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili. Katika ziara hiyo, Mhe. Mwanyika alikagua Daraja la Kifung’a, lililopo katika barabara inayounganisha maeneo ya Mji Mwema na Ramadhani. Ukaguzi huo ulimwezesha kujionea hali halisi ya daraja hilo pamoja na umuhimu wake katika kurahisisha usafiri wa watu, mazao na huduma nyingine muhimu. Aidha, Mhe. Mbunge alitembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika Shule ya Msingi Peluhanda. Alipokea taarifa kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo na kusisitiza umuhimu wa kuboresha mazingira ya kuishi na kufanya kazi kwa walimu ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa elimu. Baada ya kukagua miradi hiyo, Mhe. Mwa...
Makundi maalumu 27,946 yamesajiliwa kwenye m fumo wa NeST na ku pata zabuni zenye jumla ya thamani ya Shilingi Bilioni 56 , kupitia Mfumo huo. makundi ya vijana ni 13, 317 wanawake 13,400 , wazee 643 na watu wenye ulemavu 586. Hayo yemebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba wakati wa mkutano na vyombo vya habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, katika Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma, Agosti 20, 2026. Sheria ya Ununuzi wa Umma, imezielekeza taasisi zote za umma kutenga asilimia 30 ya bajeti zao za ununuzi kwa ajili ya makundi maalum (vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu). Lengo la PPRA, kwa kuzingatia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni kuwa na takribani makundi 300,000 yaliyo tayari kuomba zabuni. Hatua hii ni sehemu ya jitihada za Serikali kutoa ajira na kazi kwa Watanzania ambao hawana uwezo wa kuwa na kampuni, ambao wanaweza kujiunga k...
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026
NA MWANDISHI WETU OFISI ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) imeshinda tuzo ya TEHAMA AWARD 2026, katika kipengele cha Mabadiliko ya Kidijitali katika Sekta ya Umma. Tuzo hizo zilizoandaliwa na Tume ya TEHAMA, zilitolewa Agosti 09, 2026 kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki, ambaye alikuwa Mgeni Rasmi. Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele hicho, ikifuatiwa na Shirika la Posta Tanzania (TPC) lililoshika nafasi ya pili, huku Wizara ya Afya ikishika nafasi ya tatu. Mbali na ushindi huo, OWM–TAMISEMI pia ilishika nafasi ya pili katika vipengele mbalimbali, ambavyo ni Utangazaji wa Maudhui ya Kidijitali, Matumizi ya TEHAMA kwa Ajili ya Athari Chanya katika Jamii, Matumizi ya TEHAMA katika Huduma za Afya, pamoja na Ubora katika Akili Mnemb...
MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS
Matukio mbalimbali katika hafla ya uapisho wa Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026. Rais Samia akiteta jambo na Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais. Ndejembi akiapishwa Ndejembi akisalimiana na viongozi mbalimbali.
NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI
Wizara ya Elimu imewakumbusha waendesha shule nchini kuzingatia sheria inayowataka wanafunzi kufika shule saa 2:00 asubuhi (8:00 AM), huku ikisisitiza kuwa hakuna shule inayoruhusiwa kuwalazimisha wanafunzi kufika mapema zaidi ya muda huo. Kwa mujibu wa Kanuni 84 ya Sheria ya Elimu ya Msingi ya 2015, saa 2:00 asubuhi ndio muda uliopangwa wa wanafunzi kuanza shughuli zao za shule, huku muda wa saa 1:15 asubuhi (7:15 AM) ukiwa ni muda wa mapema zaidi unaoruhusiwa kwa ajili ya maandalizi kabla ya masomo kuanza na sio chini ya hapo. Wizara imeonya kuwa itachukua hatua kali dhidi ya shule zitakazobainika kukiuka sheria hiyo kwa kuwalazimisha wanafunzi kufika mapema sana, huku ikisisitiza kuwa muda huo umewekwa ili kulinda afya na ustawi wa wanafunzi na kuhakikisha wanapata usingizi wa kutosha usiku.
MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU
1 Pensheni sawa na 80% va mshahara wa Makamu atakayemrithi 2 Kiinua mgongo sawa na 50% va mishahara yake yote aliyopokea akiwa Makamu wa Rais. 3 Posho ya kufungia (winding up allowance ambayo itahesabiwa kwa kuangalia mshahara nkubwa zaidi aliowahi kupokea. 4 Mwenza wake atapokea jumla ya mafao ambayo ni sawa na robo ya mishahara yote aliyopokea akiwa kama Makamu wa Rais- 5 Passport ya kidiplomasia pamoja na mwenza wake. 6 Magari mawili ambayo yatabadilishwa kila baada ya miaka mitano pamoja na Matengenezo ya magari hayo; 7 Nyumba yenye vyumba vya kulala vitatu au zaidi na samani zake Nyumba ya Wafanyakazi (servant quarter) 8 Posho ya kujikimu sawa na 80% ya mshahara wa mwezi (NB: Hii ni tofauti na ile Pensheni); 9 Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi. 10 Posho ya kujikimu sawa na 80% ya mshahara wa mwezi (NB: Hii ni tofauti na ile Pensheni). 11 Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi 12 `Usafiri daraja la kwanza anaposafiri nje ya nchi Usafiri daraia la kwanza kwa mwenza na msaid...
URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI
Duru za habari zinasema kuwa Mataifa ya Iran, Urud,China na Korea Kaskazini wamepanga kuunganisha nguvu za Kijeshi na kuunda umoja maaulumu wa kujihami,kama ule wa nchi za Maghsribi yaani NATO. Ikumbukwe kuwa Mataifa hayo manne yanashiriana au kusaidiana kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo Teknolojia na vifaa vya Kijeshi,na wanapanga kujiboresha zaidi Kwa kuanzisha umoja wa Kijeshi.
NDEJEMBI KUTOKA MFANYAKAZI WA GSM HADI KUWA MAKAMU WA RAIS
Jina la Deogratius John Ndejembi limekuwa gumzo nchini baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha kuwa mrithi wa Emmanuel Nchimbi katika nafasi ya Makamu wa Rais. Hatua hiyo ilifikiwa katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM uliofanyika Dodoma tarehe 26 Agosti 2026. Lakini swali ambalo wengi wanajiuliza ni: Ndejembi ni mwanasiasa wa aina gani, na amefikaje kwenye nafasi hii kubwa akiwa na umri mdogo? ๐น SAFARI YAKE HAIKUANZA SERIKALINI Kabla ya kuwa jina kubwa katika serikali, Ndejembi alipitia sekta binafsi, ambako alipata uzoefu katika biashara, mauzo na masoko. Kwa mujibu wa taarifa za Bunge, mwaka 2012 alikuwa Meneja wa A1 Outdoor, kabla ya kuwa Mkuu wa Mauzo wa Smile Communication kati ya 2012–2014. Mwaka 2014 alihamia Tigo kama Meneja wa Kanda, nafasi aliyoshikilia hadi 2015. Mwaka 2016 akawa Mkuu wa Masoko wa GSM Group. ๐น KUTOKA SEKTA BINAFSI HADI SERIKALINI Baada ya uzoefu huo, safari yake ya utumishi wa umma ilianza kupanda kwa kasi. Mwaka 2016 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, ka...

Comments