BODI MICHEZO YA KUBAHATISHA YAIDHAMINI HCO KUPANDA MITI 1000 DODOMA

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT)  imetoa sh. mil. 10. 4 kwa Taasisi ya Habari Conservation Organization (HCO) za kusadia upandaji miti 1000 katika eneo la Ndejengwa jijini Dodoma

Katika tukio hilo lililofanyika sanjari na upandaji wa miti hiyo uliofanywa na Mgeni Rasmi, Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Bakari Fundikira, Mkurugenzi Mkuu wa GBT, James Mbalwe, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi jirani na mradi huo. 

Naibu Meya, Fundikira ameishukuru GBT kwa udhamini huo na kuipongeza HCO kwa kuendelea na jitihahada za kupanda miti katika eneo hilo na kwamba watashirikiana nao kufanikisha lengo hilo la kuijakinisha Dodoma.


Mkurugenzi Mkuu wa GBT, James Mbalwe  akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 10.4 kwa uongozi wa HCO.
Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Bakari Fundikira (kushoto) akiangalia moja ya mabomba yanayotumika kumwagilia miti.
Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Bakari Fundikira akipanda mti.

Viongozi wa HCO wakimwagilia maji mti. Kulia ni Mwenyekiti Benard James na Afisa Habari Loyce.
Loyce  akimshukuru Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Bakari Fundikira
Mwenyekiti Bernard akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa GBT, James Mbalwe
Mkurugenzi Mkuu wa GBT, James Mbalwe akipanda mti.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa GBT, 
Kabora Mboya akipanda mti.

Afisa Habari wa GBT, Felician akipanda mti
 Viongozi wa HCO wakishiriki kupanda miti.



Viongozi wa HCO wakiwa na baadhi ya wananchi  wanaoshiriki kutunza miti hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa GBT, James Mbalwe  akiagwa baada ya shughuli ya upandaji miti kumalizika.Kulia ni Mjumbe wa HCO, Immaculate Ruzika.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

KWA KHERI MAKARANGA UMEUTIMIZA MWENDO...

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

KIJANA WA KINYAKYUSA WA ENZI HIZO, NUSURA AMCHAPE WAZIRI MUONGO BUNGENI

WANAJESHI WAGOMA KWENDA IRAN KUPIGA