Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepewa semina kuhusu mafanikio ya kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro kinachomilikiwa kwa ubia na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Mashirika ya Umma (PSSSF) na Jeshi la Magereza huku wakielezwa pia juu ya Skimu mpya ya Mafao kwa wananchi waliojiajili iliyoanzishwa na na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Semina hiyo ya siku moja iliyoendeshwa kwa pamoja na Taasisi hizo imefanyika kwenye ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Juni 15, 2026.
Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo (katikati) akifungua semina hiyo. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Hawa Mchafu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu akitoa neno la utangulizi katika semina hiyo.
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Mashirika ya Umma (PSSSF), Fortunatus Magambo.
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akishiriki kwenye semina hiyo.
Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete.Baadhi ya wabunge wakiwa katika semina hiyo.
Wabunge wakichangia hoja wakati wa semina hiyo.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mwanaisha Ulenge.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 07542642023












Comments