PROF. MUHONGO AUCHAMBUA KWA KINA UCHUMI WA TANZANIA


(Mipango & Bajeti 2026/27)

Prof Muhongo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, ametoa ushauri kwenye ukuaji mkubwa wa uchumi unaondoa umaskini nchini.


Mbunge huyo amependekeza Gesi Asilia na viwanda vyake vichangie asilimia 25 (25%) ya Pato la Taifa na Madini yetu yachangie asilimia 20 (20%) ya Pato la Taifa.


Vilevile, amependekeza kuanzishwa kwa Minerals Sovereign Wealth Fund na Natural Gas & Oil Sovereign Wealth Fund kwa manufaa ya vizazi vijavyo.


Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye VIDEO/CLIP iliyoambatanishwa hapa.


Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini 

www.musomavijijini.or.tz 


P. O. Box 6

Musoma


Date: Mon, 15 June 2026

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye