Sekondari mpya zinazopaswa kufunguliwa Januari 2027
1. Rukuba Island Secondary School, Kisiwani Rukuba, Kata ya Etaro
2. Mmahare Secondary School, Kijijini Mmahare, Kata ya Etaro
3. Kataryo Secondary School, Kijijini Kataryo, Kata ya Tegeruka
4. Mwigombe Technical Secondary School, Kijijini Kiriba, Kata ya Kiriba
5. Kamatondo Secondary School, Kijijini Nyambono, Kata ya Nyambono. Ujenzi umefadhiliwa na Serikali (Tsh 584m)
Malengo yetu:
Kila kijiji kiwe na sekondari yake ifikapo mwaka 2030
Idadi ya sasa ya Sekondari Jimboni mwetu:
Sekondari 31: Kata/Serikali
Sekondari 2: Binafsi (SDA & Katoliki)
Idadi ya sasa ya High Schools Jimboni mwetu:
1. Kasoma: Arts subjects
2. Mugango: Science & Arts
3. Suguti: Science & Arts
4. Mtiro: Arts, baadae Science
Malengo yetu:
High schools 10 za masomo ya sayansi ifikapo Mwaka 2030
Michango ya Wazaliwa wa Musoma Vijijini:
Tuchangie ujenzi wa sekondari mpya na ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya elimu ( k.m., maabara za masomo ya sayansi) ya vijijini mwetu.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Date: Mon, 28.9.2026
Comments