KATAMBI ASAINI KANUNI KUDHIBITI VING’ORA BARABARANI


NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesaini Kanuni za Ving'ora, Ishara zinazosikika na Vimulimuli za  mwaka 2026  ili kudhibiti matumizi ya sauti katika Vyombo vya Usafiri.


Katambi amesema hayo leo mkoani Kilimanjaro wakati akizungumza na Uongozi wa Chama cha Mapinduzi(CCM), ambako amewasili leo kwa ziara ya kikazi.


“Kila mtu amekua na king’ora kwa hiyo imekua familia ya kambare,ukinunua gari yako unaweka king’ora,bodaboda ina king’ora sasa shughuli hazitaenda ikiwa kila sehemu ni ving’ora tu,sasa ving’ora vitatumika kwa utaratibu maalumu unaotambuliwa na sheria”amesema Waziri Katambi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA