MZEE WARIOBA AANGUKA AKIHUTUBIA AKIMBIZWA HOSPITALI


NA MWAMDISHI WETU

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, ameanguka ghafla wakati akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini Tanzania.


Warioba alikuwa miongoni mwa wazungumzaji wakuu katika mkutano huo unaoandaliwa na Tanzania Centre for Democracy (TCD), ambapo alizungumzia masuala ya kisiasa na mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya.


Tukio hilo limetokea wakati akiendelea kuzungumza, Mzee Warioba alianguka ghafla, hali iliyosababisha shughuli za mkutano kusitishwa kwa muda.


Mwenyekiti wa TCD, Dorothy Semu, alitangaza mapumziko mafupi ili kutoa nafasi kwa hatua za kumsaidia Warioba kuchukuliwa, na baada ya takribani muda dakika chache, Warioba alisimama na kuondoka katika eneo la mkutano huo. 


Hata hivyo, Bado hakuna taarifa rasmi kuhusu hali yake kiafya kwa sasa endelea kutufuatilia Kwa taarifa zaidi


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA