MZINDAKAYA AIPATIA ZAWADI SHULE YA WASICHANA DALIZON BUNGENI

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya akimkabidhi mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dalizon kutoka Arusha sh. milioni 1 zawadi ya wanafunzi na walimu wa shule hiyo waliofanya ziara ya mafunzo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma Septemba 3, 2026.









IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA