JKT WATANGAZA NAFASI KWA VIJANA KUJIUNGA NA MAFUNZO KWA KUJITOLEA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele amewaarifu vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo kwa kujitolea kuanzia Novemba 16, 2026. Taarifa hiyo imesomwa mbele ya vyombo vya habari na Brigedia Jenerali Hassan Mabena ni Mkuu wa Tawi la Utawala wa JKT katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo Chamwino Dodoma Novemba 12, 2026.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

UJUE UKWELI KUHUSU JIJI LA MBEYA (GREEN CITY)

NDEJEMBI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA MIAKA 27 YA HAYATI NYERERE