Niliungana na viongozi wa Wilaya ya Mafia kumpokea Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, katika ziara yake wilayani kwetu.
Kabla ya kuanza ziara ya kukagua Hospitali ya Wilaya ya Mafia, Mhe. Waziri alitembelea Utende Seacliff Resort kwa ajili ya kupata kifungua kinywa na kujionea ukarimu na mandhari nzuri ya kisiwa chetu.
Karibu Mafia, kisiwa chenye uzuri, ukarimu na fursa nyingi za maendeleo.
Mafia, Mambo Iko Huku!
#JeshiLaMamaKazini #MafiaMamboIkoHuku




Comments