RIDHIWANI KIKWETE KUWABURUZA MAHAKAMANI SLAA NA MTIKILA

Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kukanusha tuhuma za kumiliki mali zinazodaiwa kuzushwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila.



Ridhiwani Kikwete akitoka kwenye mkutano. kulia ni Mwandishi wa Habari wa gazeti la Nipashe, Peter Mwendapole.




Ridhiwani akizungumza katika mktano huo






Ridhiwani akisisitiza jambo kwenye mkutano huo, ambapo aliwapa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Mtikila siku saba za kunanusha uzushi huo.








Akifafanua jambo kwenye mkutano huo uliofanyika Hoteli ya New Afrika, Dar es Salaam.










Comments

Anonymous said…
UJUMBE KWA HUYO FISADI!!

Kama anataka kujitafutia matatizo, huu ndio mwanzo. Yeye anapambana na waliomzushia sio?

Akae mkao wakula sbb yapo mengi yatakayofichuliwa ya tangu anasoma mpk ya leo, amejiingiza kwenye mechi mwenyewe. Sifa anazotaka zitamfikisha pabaya asijitafutia publicity, huu sio wkt wake na wala afai kwenye wadhifa wowote.

Msg delivered

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA