KILIMANJARO BIA YAMWAGA VIFAA KWA YANGA,SIMBA

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia0 akimkabidhi vifaa kiongozi wa Simbaa, wakati wa hafla ya kugawa vifaa kwa timu za Yanga na Simba zinazodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, katika Ligi Kuu ya Vodacom. Hfla hiyo ilifanyika, Dar es Salaam leo. Katikati ni George Kavishe ambaye ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro.

 Kiongozi wa Yanga na Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (kulia) pamoja na viongozi wa TBL, wakiwa na vifaa  vilivyokabidhiwa kwa tinu ya Yanga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA

BODABODA ALIPWA PIKIPIKI BAADA KUSAFIRI KWA BODA KWA SAA 10 MBEYA HADI DAR

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾