MBUNGE AZZAN ZUNGU AKAMATWA KWA RUSHWA

Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba, Mbunge wa Jimbo la Ialala, Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mussa Hassan Zungu na wengine watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa katika Uchaguzi wa Wazazi wa CCM, MJINI Dodoma.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Dodoma, katika taarifa ya habari ya TBC

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI

RAIS WA BURKINA FASO ATANGAZA DIRA YA KUUNDA MUUNGANO WA MATAIFA YA AFRIKA (UNITED STATES OF AFRICA).