Katibu wa NE-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhra mjini Kilosa |
Kinana akizindua Shina la wakereketwa la Dinima wilayani Kilosa
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akihutubia katika shina namba 15 la Mvumi, Kilosa Mjini |
Katibu wa NEC-CCM, Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib akijitambulisha katika mkutano wa ndani wa chama hicho mjini Kilosa
Katibu wa NEC-CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijitambulisha kwa wana CCM katika mkutano wa ndani wa chama hicho, mjini Kilosa.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akihutubia katika mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika kwenye ukumbi wa Comfort, Kilosa Mjini.
Katibu wa NEC-CCM, Mohamed Seif Khatib (kushoto), akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Kilosa, mkoani Morogoro katika ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama hicho tawala.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Comments