JK AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA GRENADA JIJINI NEW YORK


Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Dickon Mitchell, Waziri Mkuu wa Grenada, Jijini New York, Marekani. 


Katika mazungumzo yao, Mwenyekiti wa GPE ameahidi kushirikiana na Visiwa vya Grenada ili kupatia ufumbuzi hitaji la elimu kwa njia ya mtandao (digital learning) ambalo taifa hilo linahitaji kuwezesha upatikanaji wake kwa wanafunzi wa elimu msingi (basic education) yaani, chekechea, msingi na sekondari.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI